MALARIA YAMLAZA CHUJI

UGONJWA wa malaria alionao kiungo wa Yanga, Athuman Iddi 'Chuji' umepelekea nyota huyo kulazwa katika hospitali ya Kinondoni kwa ajili ya matibabu zaidi.
Daktari wa Yanga JUma Sufiani amesema kwamba pamoja na ugonmjwa huo, Chuji pia amekuwa akiandamwa na maumivu katika mwili wake.
Kwa mantiki hiyo, nyota huyo atalazimika kukaa nje ya dimba kwa siku kadhaa mpka pale hali yake itakapotengemaa.
Yanga kwa sasa ipo katika maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi kuu soka Tanzania Bara, pamoja na Ligi ya mabingwa barani Afrika ambapo wataianza kwa kukwaana na Zamalek ya Misri.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHJanuary 7, 2012 at 8:35 AM

    chuji is a disaster nilisema mimi toka habari za kusajiliwa kwake tena yanga ulivyozileta hapa,nilijua hawezi kuisadia lolote yanga tena


    MDAU WA BOMBA,REVERE,MASSACHUSETTS,USA

    ReplyDelete

Post a Comment