TBL YAZIVISHA SIMBA, YANGA

WACHEZAJI na viongozi wawakilishi wa timu za Simba na Yanga katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa vifaa na wadhamini wa vilabu hivyo kamopuni ya bia Tanzania (TBL) inayodhamini kupitia bila ya Kilimanjaro.
Vifaa hiuvyo vyenye thamani ya shilingi milioni 70 vitatumika kwa ajili ya mzunguko wa poili wa ligi kuu soka Tnzania Bara unaotarajiwa kuanza Jumamosi.

Comments