TBL KUZIMWAGIA VIFAA SIMBA< YANGA

WADHAMINI wa vilabu vya Simba na Yanga, kampuni ya bia Tanzania (TBL) leo wanatarajiwa kuzimwagia vifaa timu hizo ikiwa ni sehemu ya udhamini wao kwa timu hizo.

TBL kupitia bia yake ya Kilimanjaro inazidhamini timu hizo ambapo itazitumia vifaa hivyo katika mzunguko wa pili wa ligi kuu soka Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza keshokutwa.

Comments