TABATA SHULE VETERAN WAPATA VIONGOZI WAPYA

KLABU ya soka ya Tabata Veterani imefanya uchaguzi wake na kuwapata viongozi wapya ambao wataiongoza kwa mwaka mmoja, uchaguzi uliofanyika katika kota za TAZARA zilizopo TAbata Shule juzi.
Waliochaguyliwa ni kama ifuatavyo:
Mwenyekiti-Shaban Geva
M/Mwenyekiti-Mwita Kambi
Katibu-Seleman Gadau
K/Msaidizi-Charls Charles
Mhazini-Dk.Msangi
M/Msaidizi-Mbwana Zuberi
Kocha-Mshindo Msolla

Comments