SOFAPAKA KUZINOA SIMBA, YANGA WIKI IJAYO

SOFAPAKA
TIMU ya soka ya Sofapaka ya nchini Kenya inatarajiwa kucheza mechi za kitrafiki na vigogo vya soka nchini, Simba na Yanga.
Kwa mujibu wa waandaji wa ziara hiyo, Sofapaka itaanza kwa kuycheza na YAnga Januari 14 kabla Januari 15 kucheza na Simba ambapo mechi zote zitapigwa katika dimba la Taifa, jijini Dar es Salaam.

Comments