REAL MADRID BADO VIBONDE KWA BARCELONA

NYOTA wa Real Madrid, Mturuki Hamit Altintop  kushoto akimwangalia mchezaji wa Barcelona  Carles Puyol akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi katika mechi iliyopigwa kwenye dimba la  Bernabeu huko Madrid jana ambapo Barca ilishinda mabao 2-1.Katika mchezo huo mabao ya Barca yalifungwa na Abidal na Puyol, huku lile la Madrid likifungwa na Ronaldo.

Comments