MZUNGUKO HUU NI DOZI KWA KWENDA MBELE-PAPIC

KOCHA mkuu wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanxzania Bara Yanga, Kostadin Papic amesema kwamba kikosi chake kipo kamili kwa duru hilo na kwamba timu shiriki zitarajie dozi ya uhakika toka kwao.
Akizungumza mapema leo, Papic amesema kutokana na ukweli kwamba mzunguko huu ndio wa lala salama timu yake haitafanya makosa kwa timu yoyote itakayokutana nayo kwani lengo ni kutetea vema ubingwa wake.
"Kama m,navyojua huu ni mzunguko wa lala salama na kila timu itahitaji kushinda lakini kwetu sisi wasitarajie kupata pointi yoyote,"Alisema Papic

Comments