MKOREA AITEKETEZA MAN CITY

Mshambuliaji Mkorea wa Sunderland, Ji Dong-Won (kushoto akishangilia bao pekee la ushindi alilofunga dhidi ya Manchester City pamoja na kiungo wa timu yake Msweden, Sebastian Larsson (kulia) leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stadium of Light, Sunderland, England.

Comments