MENSAH AIPA USHINDI GHANA, ALIMWA NYEKUNDU


NAHODHA wa Ghana, Jonathan Mensah, wa tatu kutoka kushoto, akilalamikia na wachezaji wenzake baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu huku refa Diatta Badara wa Senegal, wa pili kushoto, akimuonyesha kadi hiyo katika mechi ya Kombe la Mataifa ya Afrika Kundi D dhidi ya Botswana kwenye Uwanja wa Stade de Franceville, Franceville, Gabon.

Comments