MDAU HOYCE TEMU ALAMBA NONDO YAKE

 Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akisubiri kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe akimtunukia Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
  Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe katika Picha ya Pamoja na wahitimu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations).  Wa tatu kutoka kushoto waliosimama ni Hoyce Temu. 

Hoyce Temu katika picha ya pamoja na familia yake. Kutoka kushoto ni Dada zake Mrs. Shose Minja, Pendo Matee Makwaiya, Rafiki yake Emelda pamoja na Mama yake Mdogo Bi. Edith Max.
Hoyce Temu na Mdau Sixtus Mapunda akiwa na familia yake.

 :Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mdau Assah Mwambene.
                    Hoyce Temu katika picha ya pamoja na rafiki yake.
                               Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby.
                  Hoyce Temu akiwa na mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho

                                                                   HOYCE TEMU

Comments