MAREKANI YAIPIGA MEXICO 4-0 OLIMPIKI CONCACAF

Carli Lloyd (10) wa Marekani akijaribu kumtoka Veronica Perez (17) wa Mexico katika mechi za mchujo za Amerika Kusini (CONCACAF) kuwania tiketi ya kucheza Olimpiki ya mwaka huu London, iliyofabnyika Place mjini Vancouver, British Columbia jana, Marekani ilishinda 4-0.

Comments