MANENO HAYO

Wabongo kiboko, Mume ndio anarudi nyumbani tangu Xma.Mke kumuuliza anadai alichukuliwa na mafuriko.

Anaulizwa:Harufu ya pombe inatoka wapi?
Anajibu:Tena nina bahati mke wangu manake nilikwama kwenye fensi ya Breweries, nipe pole mke wangu.
===================================




Kila aitazamaye kesho yampasa kwanza animalize leo.
Acha nikudokeze juu ya maisha ya leo


1.Ishi kwa UPENDO usio na unafiki
2.Ishi na FURAHA isiyo na mipaka.
3.Ishi kwa IMANI na kila mtu
4.Jiheshimu kwani HESHIMA yako inatokana na jinsi ulivyo
5.Kuwa MVUMILIVU kwa kila jambo ili kufikia mafanikio.
6.Weka MSAMAHA mbele kwa kila anayekukosea na unayemkosea.
7.MISUKOSUKO ni sehemu ya Maisha ndiyo hatua ya kuvuka kwa kufanikiwa katika MAISHA, hivyo usikate tamaa.
======================================


Dunia duara utaizunguka starehe hasara utaiepuka?Pepo gharama utagharamika?Ndoa Stara, kweli wanandoa hustirika?
Zinaa bala Utaiacha?
Uzembe Njaa, Acha!

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHJanuary 18, 2012 at 6:46 AM

    du hayo mafuriko yako mama simba kiboko!Kweli yaweza mzoa mtu mzima mzima ati akapotea nyumba!si unajua tena dar mchana ndogo lakini usiku kubwa hiyoo acha tu mamangu..


    mdau wa bomba,usa.

    ReplyDelete

Post a Comment