MAN UNITED KWISHA HABARI YAKE

Kiungo wa Newcastle United, kutoka Ivory Coast, Cheik Tiote (kushoto) akimdhibiti mkongwe  wa Manchester United, Ryan Giggs (kulia) katika mechi ya Ligi Kuu ya England juzi kwenye Uwanja wa  St James' Park. Newcastle iliua Mashetani 3-0.

Comments