MABONDIA WAKIJIFUA KWA FIGHTS ZA 2012

Baadhi ya mabondia wakifanya mazoezi katika klabu ya Amana CCM Dar es salaam jana kwa ajili ya mashindano mbalimbali yatakayowakabili mwishoni mwa mwezi huu.

Comments