KITU KIMETUA MBAVUNI...AKA! January 25, 2012 Get link Facebook Twitter Pinterest Email Other Apps Derry Mathews, kushoto, katika pambano lake Mtaliano Emiliano Marsili, kulia kuwania taji la IBO uzito wa Light lililofanyika kwenye ukumbi wa Liverpool Olympia, Liverpool, England, Ijumaa ya Januari 20, mwaka huu. Marsili alishinda. Comments
Comments
Post a Comment