HATMA YA COSTA MIKONONI MWA UONGOZI

BEKI wa Simba anayetumikia adhamu ya kusimamishwa kwa muda usiojulikana Victor Costa amesema anasubiri hatima yake kutoka kwa viongozi wa klabu hiyo.

Uongozi wa Simba ulimsimamisha Costa kutokana na utovu wa nidhamu alioufanya akiwa Visiwani Zanzibar hivi karibuni ambapo timu hiyo ilikuwa inashiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.




Comments