HAKUNA LOLOTE TULIZIDIWA

YANGA imekiri kuwa hakuna mizengwe wala nini bali ilizidiwa uwezo wa kimchezo na Azam Fc na matokeo yake kuondolewa katika michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea Visiwani Zanzibar.
Ofisa habari wa YAnga Louis Sendeu amesma kuwa timu yao haikucheza kwa kiwango cha chini kama inavyodaiwa bali walizidiwa na wapinzani wao na matokeo yao kubamizwa mabo 3-0.
Kauli ya Sendeu inakinzana na ile ya kocha mkuu wa Yanga,Kostadin Papic ambaye alidai kuwa kuondolewa kwa Ynga kwenye michuano hiyo ni kutokana na maandalizi mabovu.

Comments