DROGBA AING'ARISHA IVORY COAST, MANUCHO AITAKATISHA ANGOLA

Ivory Coast ilianza vizuri kampeni yake ya kuwania kombe la Mataifa ya Afrika kwa kuifunga Sudan jana usiku.
Nahodha  Didier Drogba aligonga kichwa cha nguvu kuunganisha krosi ya mchezaji mwenzake wa Chelsea ya England, Salomon Kalou.  Lakini Sudan waliibana ile mbaya Ivory Coast iliyocheza chini ya kiwango.
Katika mchezo mwingine, Angola iliifunga Burkina Fasso 2-0, mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Manucho akipiga bonge la bao la ushindi.

CAF: Kombe la Mataifa ya Afrika 2012
MATOKEO:
Januari 21, 2012
Equatorial Guinea 1-0 Libya 
Senegal 1-2 Zambia 
Januari 22, 2012
Ivory Coast 1-0 Sudan (saa 12:00 jioni)
Burkina Faso 1-2 Angola (saa 3:00 usiku)

RATIBA:
Januari 23, 2012
Gabon v Niger (saa 12:00 jioni)
Morocco v Tunisia (saa 3:00 usiku)
Januari 24, 2012
Ghana v Botswana (saa 12:00 jioni)
Mali v Guinea (saa 3:00 usiku)
Januari 25, 2012
Equatorial Guinea v Senegal (saa 3:00 usiku)
Januari 26, 2012
Sudan v Angola (saa 12:00 jioni)
Ivory Coast v Burkina Faso (saa 3:00 usiku)
Januari 27, 2012
Niger v Tunisia (saa 12:00 jioni)
Gabon v Morocco (saa 3:00 usiku)
Januari 28, 2012
Botswana v Guinea (saa 12:00 jioni)
Ghana v Mali (saa 3:00 usiku)
Januari 29, 2012
Equatorial Guinea v Zambia (saa 2:00 usiku)
Libya v Senegal (saa 2:00 usiku)
Januari 30, 2012
Sudan v Burkina Faso (saa 2:00 usiku)
Ivory Coast v Angola (saa 2:00 usiku)
Januari 31, 2012
Gabon v Tunisia (saa 2:00 usiku)
Niger v Morocco (saa 2:00 usiku)

Comments