DIOUF AWANOA MAKOCHA WA NDONDI

Kocha wa Mchezo wa Ngumi Rajabu (Super D) kulia akibadilishana mawazo na mkufunzi wa makocha wa Masumbwi wa kimataifa Josef Diouf kutoka Shirikisho la Dunia la mchezo wa ngumi (AIBA) katikati ni Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
ch.blogspot.com)

Comments