CHARLZ BABA AREJEA< KUANZA KUKAMUA MASHUJAA LEO

Mwanamuziki mpya wa Bendi ya Mashujaa,Charles Gabriel a.k.a Chaz Baba akiwasilli kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jana jioni akitokea nchini Dubai alikokuwa amekwenda kwa mapumziko mafupi baada ya kuikacha Bendi yake ya awali ya African Stars (Twanga Pepeta).Msanii huyo leo anatarajiwa kupanda kwa mara ya kwanza katika jukwaa la Ukumbi wa Business Park ulipo Makumbusho jijini Dar es Salaam kupitia onysho litakalohusisha pia bendiu za Extra Bongo na MApacha watatu. 

Comments