CCM MKOA WA ILALA WAICHANGIA TWIGA STARS 26,000

CHAMA cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Ilala kimeichangia timu ya taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' kiasi cha shilingi 26,000 ikiwa ni mchango wake dhidi ya timu hiyo inayojiandaa na mechi yake ya marudiano ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Namibia inayotarajiwa kupigwa Jumapili katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
CCM wameungana na wadau wengine ambao wamehamasika kuichangia timu hiyo ili iweze kufanya vema katika mchezo huo.



Comments