BRAZIL YA AFRIKA YAABNZA VEMA AFCON

Wenyeji washiriki, Gabon jana walianza vema kampeni za kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika katika Kundi C baada ya kuifunga Niger mabao 2-0 mjini Libreville. Wakiwa wamevalia jezi zao za bluu na njano mithili ya Brazil, Gabon waling'ara na kukonga nyoyo za mashabiki wa nyumbani kama wanavyoonekana pichani.

Comments