BEYONCE& JAY-Z WAPATA BABY GIRL


NDOA ya wasanii wa Marekani Beyonce Knowles na mumewe Jay-Z  (pichani)hatimaye imejaaliwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kike jumamosi na mtoto huyo kupewa jina la Blue Ivy Carter.

Comments