BARCA YAUA 4-0

Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi wa Argentina, kulia, akishangilia na Mbrazil Daniel Alves baada ya kufunga bao katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Osasuna kwenye Kombe la Mfalme jana usiku. Hiyo ilikuwa ni mechi ya kwanza ya hatua ya 16 bora ya Copa del Rey iliyochezwa kwenye Uwanja wa Camp Nou, Barcelona.

Comments