AZAM FC ILIPOTWAA UBI*NGWA WAKE WA KWANZA

 WACHEZAJI na viongozi wa timu ya Azam wakipokea kombe la MApinduzi baada ya kutwaa ubingwa huo jana ambao ni wa kwanza tangu kuanzishwa kwa timu hiyo.Azam ilitwaa ubingwa huo baada ya kuichapa JAmhuri mabao 3-1 katika mechi iliyopigwa kwenye dimba na Amaan, Zanzibar
 Wachezaji wa Azam katika picha ya pamoja mara baada ya kutwaa ubingwa huo uliokuwa ukishikiliwa na Simba ambapo kwa ushindi huo walizawadiwa kitita cha shilingi milioni tano, huku JAmhuri ikiondoka na Milioni 3.
 Jamhuri hao samahani wadau picha hazipo katika mwonekano mzuri kwani nilipiga nikiwa jukwaani, hata hivyo vijana wa Jamhuri pamoja na kutoshinda hawana budi kupongezwa kwani walitoa ushindani mkubwa kwa Azam.
 Mamapipiro kama kawaida ndani ya uwanja wa Amaan na mdau mkubwa wa mamapipiroblog, Asha Kigundula mamaa wa nyekundu na nyeupe.Hahahahahahahhaha
Waandishi waandamizi wa Michezo Dina na Asha K

Comments

  1. Wote sura mbaya....

    ReplyDelete
  2. DAHHHH EBAEEE!!! kumbe uko SOFT USONI SAFI SANA POZI ZURI ILA HAPO PEMBENI YAKO SIJUI HAKUTAKA KUPIGA PICHA.AU ULIMLAZIMISHA..ANY WAY...PICHA INAJIELEZA YENYEWE
    MDAU
    MBEBA BOX WA NORWAY TANGU 2005..

    ReplyDelete
  3. YANGA BOMBA - UHURU BRANCHJanuary 14, 2012 at 5:14 AM

    ASHA NI MJA MZITO?MPE HONGERA ZAKE KAMA NI HIVYO,HUYO MAMAA WA MSONDO NGOMA....TUNATOFAUTINA KWENYE SUALA LA USIMBA WAKE TU LAKINI MSONDO TUKO PAMOJA,MWAMBIE ANISALIMIE NDUGU YANGU MKUMWENA!

    MDAU WA BOMBA,REVERE MASSACHUSSETTS,USA

    ReplyDelete

Post a Comment