YANGA,AZAM KUCHANGISHA FEDHA ZA WALEMAVU

VILABU vya Yanga na Azam FC vya jijini Dar es Salaam Desemba 20  vitashuka katika dimba la taifa jijini Dar es Salaam kucheza mechi maalum ya kuchangisha fedha za kuwezesha kugomboa viti vya walemavu.
Vioti hivyo vya walemavu vimekwama katika bandari ya Dar es Salaam baada ya kukosekana ushuru wa kuvilipia vinatoka nchini Marekani vilipotumwa na shiriki moja lisilo la kiserikali.

Comments