YANGA WAPIGWA 2-0 NA AZAM

Kenneth Asamoah wa Yanga baada ya kumpiga chenga kipa wa Azam FC, Mwadini Ali lakini alishindwa kufunga bao. Yanga ilifungwa 2-0 na Azam leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mabao ya Gaudence Mwaikimba na Mrisho Ngassa.

Comments