WACHEZAJI YANGA WAJAZWA MANOTI

SIKU chache baada ya mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara kulia ukata, wadhamini wa timu hiyo, kampuni ya bia Tanzania (TBL) imewajaza manoti wachezaji hao.
Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu, amesema kuwa kutokana na hatua hiyo ni wazi kuwa ratiba na mipangilio ya timu hiyo itaendelea vema kwani wachezaji watafanya maandalizi wakiwa na morali ya hali ya juu.

Comments