VODACOM MISS TANZANIA 2011 SALHA ISRAEL AKABIDHIWA ZAWADI YAKE YA GARI

VODACOM Miss Tanzania 2011 SAlha Israel akiingia katika gari lake aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi milioni 72 alilokabidhiwa leo kutokana na kushinda shindano la Miss Tanzani mwaka lililofanyika Septemba 10 kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.Pembeni yake ni mratibu wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akimshuhudia mrembo huyo.


Vodacom Miss Tanzania Salha Isarel akionyesha funguo ya gari aina ya Jeep Patriot lenye thamani ya shilingi milioni 72mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Udhamni na Matukio wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa wa pili toka kulia kama ishara ya makabidhinao ya zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency waratibu wa shindano hilo la Vodacom Miss Tanzania Hashim Lundenga na mwengine anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa CFAO wadhamini wenza wa shindano Alfred Minja.

Comments