VENGU ATOLEWA ICU, HALI YAKE YAZIDI KUIMARIKA

MSANII wa kundi la The Origino Komedi, Joseph Shamba 'Vengu' imeelezwa kuwa hali yake inaendelea vema na hivyo kutolewa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya Muhimbili (ICU) na kuhamishiwa katika wodi ya Mwaisela.



Taarifa zinaeleza kuwa msanii huyo aliyelazwa hospitalini hapo kwa miezi kadhaa sasa anaendelea na matibabu hospitalini hapo.





Comments