UGANDA YATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALENJI

TIMU ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' leo imetawazwa kuwa bingwa mpya wa michuano ya CECAFA Chalenji 2011 baada ya kuizamisha kwa penalti 3-2 timu ya Taifa ya Rwanda 'Amavubi' katika mechi ya fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments