TUNDAMAN YUPO FITI KWA SASA

HALI ya msanii wa wa Tip Top Connection Tunda Man ambaye amepata mwishoni mwa wiki mkoani Shinyanga imeimarika kwa asilimia 99.
Meneja wa kundi hilo, Babu Tale amesema leo kwamba "Tunashukuru kwa kweli Tundaman alirejea jijini tangu juzi jioni, kwa kweli hali yake inaeendelea vizuri na yupo anakatiza mitaa kama kawaida,"Alisema.
Nyota huyo alipata ajali akitokea Kahama mkoani Shinyanga alipokwenda kufanya shoo ya muziki na gari ndogo ambapo dereva na abiri mwingine walifariki papo hapo.

Comments