TUNDAMAN APATA AJALI MBAYA

MSANII wa kundi la Tip Top Connection, Tundaman amepata ajali mbaya ya gari akitokea Kahama Shinyanga na katika gari hilo, watu wawili akiwemo dereva wamefrariki dunia papp hapo. Kwa Mujibu wa Babu Tale, Tunda ameumia eneo la kichwani.

Comments