TIPTOP YASUKA KICHUPA CHA 'KIBOKO YAO'

KUNDI la muziki wa kizazi kipya la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese, jijini Dar es Salaam limeanza kurekodi video ya wiumbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Kiboko Yao’.
Meneja wa kundi hilo, Babu Tale amesema kazi ya upigaji pidha za video hiyo inafanywa na kampuni ya Visual Lab chini ya mkurugenzi wake,Adam Juma.
Kundi Tip Top linaundwa na wasaani kama Ahmad Ally ‘Madee’, Richard Tunda ‘Richard’, Kharid Tunda ‘Tundaman’, na Dogo Janja.

Comments