RAMADHANI NASIBU AMTWANGA ANTONI KAIRUKI KWA POINTI

 Ramadhani Nassibu akinyoshwa mkono juu na Refarii Said Chaku wakati wa  mpambano wake na Antoni Kairuki ambapo Nasibu arishinda kwa Point

Ramadhani Nassibu kulia akipambana na Antoni Kariuki wa kenya Jana Nasibu arishinda kwa Pointi.
Baadhi ya mashabiki wa mchezo wa ngumi wakiangalia mchezo huo

Rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa nchini (TPBO) Yasin Abdalah akitangaza matokeo

                                      Baadhi ya mashabiki wa mchezo wa ngumi wakiingia ukumbini.(PIcha zote  na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)

Comments