PAPIC AMMWAGIA SIFA CHUJI

KOCHA mkuu wa Yanga, Kostadin Papic ammwagia sifa kiungo mpya wa timu hiyo, Athuman Idd 'Chuji' na kusema kuwa kwa kiwango alichonacho ataibeba vema timu hiyo katika mzunguko wa pili wa ligi kuu bara na michuano ya kimataifa.
Papic amesema hayo baada ya tathmini yake tangu kuanza kwa mazoezi ya timu hiyo wiki hii na kusema kuwa nyota huyo ana uwezo mkubwa sana hivyo anaimani naye kubwa katika siku za usoni.

Comments