MAN UNITED YAUA 5-0


Winga wa Manchester United, Antonio Valencia (kushoto) akimtoka mshambuliaji wa Fulham, Moussa Dembele (kulia) katika mechi ya Ligi Kuu England jana usiku kwenye Uwanja wa Craven Cottage, London, England. United ilishinda 5-0. Wafungaji walikuwa Welbeck (4), Nani (27), Giggs (42), Rooney (87) na Berbatov (89).

Comments