MAN CITY WAPEWA BABA MWENYE NYUMBA, UNITED NA AJAX



MANCHESTER City watacheza na mabingwa watetezi, FC Porto ya Ureno katika Europa League, wakati Nanchester United watamenyana na Ajax Amsterdam ya Uholanzi.


CHEKI DROO KAMILI:


LAZIO v ATLETICO MADRIDAZ

ALKMAAR v ANDERLECHTRUBIN

KAZAN v OLYMPIAKOS

STOKE CITY v VALENCIA

SALZBURG V METALIST KHARKIV

LOKOMOTIV MOSCOW v ATHLETIC

BILBAOAJAX v MANCHESTER UNITED

PORTO v MANCHESTER CITY

Comments