LIVERPOOL YASHIKWA WIGAN

Mshambuliaji wa Liverpool, Andy Carroll akiwa ameruka juu kuwania mpira katika mechi ya KLigi Kuu ya England usiku wa jana dhidi ya Wigan Athletic kwenye Uwanja wa DW Stadium, Wigan, -Magharibi mwa England. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

Comments