KILI STARS YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

WACHEZAJI WA KILI STARS WAKISHABGILIA

NYOTA ALIYEIPELEKA NUSU FAINALI KILI STARS,  NURDIN BAKARI (PICHA ZOTE NA JOSEPH SENGA)

TIMU ya Taifa ya Bara, ' Kilimanjaro Stars'imefanikiwa  kutinga nusu fainali ya michuano ya CECAFA CHalenji 20-11 baada ya kuikwanyua Malawi bao 1-0 katika mchezo wa Robo fainali uliopigwa Uwanja wa Taifa, jioni ya leo.

Kwa ushindi huo Stars itakutana na Uganda, huku Sudan itakwaana na Rwanda 'Amavubi, ambapo hatua ya Nusu fainal;i itaanza Alhamis..

Comments