KILI STARS SI RIZKI!

TIMU ya Taifa ya Bara 'Kilimanajro' Stars leo imeshindwa walau kutoka mrisi kwa kunyakua nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA Chalenji 2011 baada kufungwa bao 1-0 na Sudan katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments