HONGERA MDAU KIPUKUSWA KWA KUMEREMETA

 MWANACHAMA maarufu wa Simba Kipukuswa akifurahi na mkewe mara baada ya kufunga ndoa hivi karibuni
                                                Waalikwa  wakipata Kipunga
 Hapa wakikata keki ya harusi

Upinzani Uwanjani Bana nje ya hapo ni kushirikiana kama kazi, hapa wadau wa Yanga wakimtuza Bwn Harusi jezi za Yanga, ilikuwa raha ya aina yake, sasa sijui kaka Kip utaivalia wapi hiyo, au utampa wifi Hahaha.Kila la heri maharusi na mwenyezi mungu awatangulie katika kila jambo, Inshallah.
PICHA ZOTE NA MICHUZI BLOG

Comments