HERI YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA WADAU WETU

 Mama yupo busy kulisha nyani, watoto hawana time wanashangaa kivyao, hiyo ni sehemu ya utalii wa ndani katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

                                                                          Juu ya ngamia na Prince Akbar

                                                                          Mother & Son

                                        My Kids-Precious, Princess Asia  na Prince Akbar

 Mkojo wa Simba huwa unawasha, mfalme huyu wa nyika alitunyunyiuzia kidogo ikabidi tukimbie kunawa



Comments