FARID APANIA ZAIDI YA MCHUMBA

MSANII anayekuja kwa kasi katika medani ya muziki wa kizazi kipya Farid amepania kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia hiyo.
Farid ambaye kwa sasa anatamba na singo yake ya Mchumba aliyomshirisha Rais wa Manzese, Madee amesema kwa sasa yupo mafichoni akipika vitu ambavyo vitakuwa bora za idi ya Mchumba.

Comments