DROGBA AIPAISHA CHELSEA ULAYA

MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Didier Drogba akishangilia bao lake la kwanza kati ya mawili aliyoifungia timu yake dhidi ya Valencia ya Hispania katika mechi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA) ambapo Chelsea ilishinda mabao 3-0, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Stamford Bridge, huko London, Uingereza.Ushindi huo umeiwezesha Chelsea kuingia hatua ya mtoano ya michuano hiyo.

Comments