COASTAL UNION KUJIPA MAKALI KWA BANDARI, GOR MAHIA


KATIKA kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu soka Tanzania Bara, ' Wagosi wa Kaya'  Coastal Union ya Tanga imepanga kucheza mechi tatu za kirafiki na timu za Bandari, Gor Mahia (Kenya) na Azam FC.
Katibu Mkuu wa Coastal, El Siagi Kassim amesema michezo hiyo itafanyika endapo viongozi wa timu husika watakubali maombi yao kuhusiana na mechi hizo.
“Tumeshazungumza na viongozi wa timu hhusika hivyo kama mambo yakienda vema nadhani mechi hizo zitaanza kurindima wiki ijayo,"Alisema.

Comments

  1. YANGA BOMBA - UHURU BRANCHDecember 29, 2011 at 5:15 AM

    ILA MWANANGU HII NEMBO YA COASTAL UNION SIIPENDI KINOMA...

    ReplyDelete

Post a Comment