CHUJI AWAANGUKIA YANGA

KIUNGO Athumani Iddi 'Chuji' amewaahidi mashabiki wa Yanga kupiga kazi ya uhakika baada ya kurejea timu hiyo na amewaomba wasahau yote yaliyopita, kwani matatizo ya kifamilia ndiyo yalimfikisha kwenye kufanya yote.
"Naomba wanipokee kwa moyo mkunjufu na waniunge mkono, nitawapigia kazi ya uhakika", alisema Chuji ambaye alipotemwa Yanga, alikwenda Simba ambako alifukuzwa baada ya miezi miwili.  

Comments