BOBAN, TAITA WATIMULIWA KAMBINI STARS

HARUNA Moshi 'Boban' amefukuzwa kwenye kambi ya taifa ya Tanzania, Taifaq Stars jkwa utovu wa nidhau, wakati beki Godfrey Taita amefukuzwa baada ya kuingiza mwanamke chumbani. Stars inashuka dimbani kesho kumenyana na Malawi katika Robo Fainali ya mwisho ya michuano.

Comments