BARCA MTATUKOMA

Mlinzi wa mabingwa wa  Asia Qatar's Al-Ssad,  Nadir Belhadj (wapili kutoka kushoto) akicheza na mpira katika mazoezi ya timu hiyo huko Yoikohama, Tokyo,leo. Al-Ssad itakwaana na mabingwa wa Ulaya, BArceloana ya Hispania  katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya FIFA  kwa upande wa vilabu itakayopigwa  Desemba 15 mjini humo.

Comments