ARSENAL V AC MILAN, CHELSEA V MARADONA



ARSENAL itacheza na AC Milan ya Italia katika hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Chelsea nayo itacheza na timu ya Italia, Napoli ambayo amewahi kuchezea gwiji wa Argentina, Diego Maradona. CHEKI DROO KAMILI:Lyon (Fra) v APOEL (Cyp)Napoli (Ita) v Chelsea (Eng)AC Milan (Ita) v Arsenal (Eng)Basel (Swi) v Bayern Munich (Ger)Bayer Leverkusen (Ger) v Barcelona (Spa)CSKA Moscow (Rus) v Real Madrid (Spa)Zenit St Petersburg (Rus) v Benfica (Por)Marseille (Fra) v Inter Milan (Ita)

Comments